resources

Publications

SDGs Program books

Tanzania Civil Society Report on the Sustainable Development Goals

The civil society report provides an assessment of the implementation of the SDGs from a civil society perspective. It also facilitates knowledge, experiences, best practices, and innovation sharing on SDGs
implementation and follow-up and review from grassroots, national and international civil society organizations working in Tanzania. Additionally, the report also focuses on showcasing specific case studies shared by CSOs with the aim of making a compelling case of the contribution they have had towards the implementation of SDGs in Tanzania. The report further highlights existing gaps and challenges and outlines recommendations for accelerating the implementation of SDGs in the country.

SDGs Implementation, Follow-Up, and Review in Tanzania Book – 2017 (English Version)

This book provides a report on the implementation, follow-up, and review of the Sustainable Development Goals in Tanzania 2017.

National Five Year Development Plan II (FYDP II) and the Local Government Authorities

This book provides an in-depth understanding of Tanzania’s Five Year Development Plan II and proposes strategies on how to improve its implementation in the Local Government Authorities.

UNA Tanzania imeshiriki kutoa Tamko kuhusu Sheria ya Takwimu, 2015

Tamko hili ni juu ya mapendekezo ya kuboresha sheria ya takwimu.

Livelihood Program books

Simulizi za Mabadiliko

Mwaka 2018, UNA Tanzania ilikusanya maoni na simulizi za maisha ya vijana wanufaika wa mikopo inayotolewa katika halmashauri zote nchini kwa ajili ya kuviwezesha vikundi vya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu. UNA Tanzania ilifanikiwa kutoa chapisho la kwanza la kitabu hiki kinachotoa taswira pana kwa vijana namna wanavyoweza kunufaika na 4% inayotengwa kutoka kwenye 10% inayotokana na vyanzo vya ndani vya mapato ya halmashauri. Jumla ya vijana 120 (wasichana kwa wavulana) walishiriki kutoa maoni na stori zao zilizochapishwa katika kijitabu hiki pamoja na kutengenezea makala za picha mjongeo (video documentary).

Kitini cha Ufahamu wa Sheria ya Baraza la Vijana la Taifa katika Lugha Nyepesi

Ukisoma kitini hiki utapata taarifa za ki-maudhui na mchakato wa uundaji na uendeshaji wa Baraza la Vijana ili kuona mantiki na umuhimu wa Baraza kama chombo cha kuwaunganisha vijana nchi nzima bila kujali tofauti zao za kiitikadi, kiimani na hadhi ya maisha.

Maelekezo kwa lugha nyepesi ya kuomba mkopo wa 4% kutoka Halmashauri

Juhudi za Serikali katika kuwawezesha wananchi wake kiuchumi
wakiwemo vijana ni pamoja na utengaji wa 10% ya mapato ya
ndani katika kila halmashuri kwa ajili ya kuviwezesha vikundi vya
vijana, wanawake na watu wenye ulemavu.

Kanuni za Asilimia Kumi

Kanuni za utoaji na usimamizi wa mikopo wa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu za Mwaka 2019.